Sunday, July 4, 2010

nani kasema hana shem? huyo wetu wa mrisho pembeni tumaini kushoto ni rockson

having fun with my friends that's in IRINGA




JAMAA ANAMCHANGO MKUBWA SANA KATIKA TAIFA LETU NAE NI MDAU WANGU MTU WA WATU ANA KAZI ZAKE NYINGI ZA KITALUUMA ALIZOZITOA .

mbele ya kalenga museum






















mama watoto anakagua fuvu nikiwa nimesimama pembeni ya kumbukumbu ya shujaa wetu












as you see





















picha ya pamoja

mtemi wa mwisho ndani ya iringa mwamba stephen c.

fuvu la shujaa wetu mkwawa nikimkumbuka na mimi huwa natamani kujinyonga, sio mimi mwenye maneno hayo nimenukuu kutoka kwa aswile neema

fuvu la shujaa wetu mkwawa nikimkumbuka na mimi huwa natamani kujinyonga, sio mimi mwenye maneno hayo nimenukuu kutoka kwa aswile neema

pamoja daima na macollege met

picha ya pamoja na washkaji wa chuo

tumeshafika kalenga ndio tunaingia

pamoja daima na macollege met

tupo na tour guide wetu a.k.a kitukuu cha mkwawa

bado safari